‘So Hot’ ya Kiba yakuna mashabiki

0
747

Beatrice Kaiza

MFALME wa Bongo Fleva, Ali Kiba a.k.a King Kiba,  ameendelea kuwakuna mashabiki zake na wimbo mpya, So Hot unaokimbiza kwa sasa kwenye mtandao wa YouTube.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kiba alisema wimbo huo ni utekelezaji wa mpango wake a kuachia nyimbo mfululizo tofauti na alivyokuwa anafanya zamani.

“Mashabiki zangu wamezoea utaratibu wa kutoa nyimbo moja kila mwaka, sasa So Hot ni mwendelezo wa kuachia ngoma mfululizo,” alisema Kiba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here