27.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 20, 2023

Contact us: [email protected]

Snoop Dogg awaanika wavuta bangi

LOS ANGELES, Marekani

RAPA Snoop Dogg huwa hajiulizi mara mbili anapotaka kufanya alichoamua.

Iko hivi, juzi alianika majina ya mastaa wanaotumia dawa za kulevya aina ya bangi, orodha ambayo pia inawahusisha walioaga dunia.

Alichokifanya mkali huyo wa muziki wa Hip Hop ni kutaja miezi yote 12, kila mmoja ukiwa na jina la staa mvutaji bangi.

Mfano, kwa shabiki wake aliyezaliwa Januari, Snopp alisema amekuja duniani siku moja na Bob Marley aliyekuwa mvutaji bangi.

Kwa mujibu wa orodha ya Februari, aliyezaliwa Februari, alikuja na mvutaji bangi mwingine aitwaye Rihanna.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
210,784FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles