Smith: Watoto wangu hawanisikilizi

0
711

smithsNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa filamu na muziki nchini Marekani, Will Smith, amedai kwamba watoto wake kwa sasa wanajiona wamekuwa hivyo hawasikilizi ushauri wake.

Msanii huyo amesema kuwa awali watoto wake walikuwa wanausikiliza ushauri wake, lakini kwa sasa wamekuwa ndiyo maana wanapuuzia ushauri wake.

“Kila nikijaribu kuwashauri inakuwa ngumu kunielewa, lakini zamani walikuwa makini na kile ninachokisema, ila sishangai najua wamekuwa na kujiona wanaweza kujiongoza katika baadhi ya mambo.

“Mtoto wangu mmoja anacheza mpira zaidi ya miaka minne kwa sasa na aliwahi kuumia kichwani na nikajaribu kumkataza kucheza mchezo huo lakini nimeshindwa anaonekana kuupenda sana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here