24.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Sloti ya Forest Rock Inakurudisha kwenye Hadithi za Sungura na Fisi

Sloti ya Forest Rock            

Kasino ya mtandaoni inakurudisha nyuma kwenye zama za kale, zama zile ambazo tulikua tunakaa chini tukiota moto huku masikio yetu yakisindikizwa na simulizi nzuri za mababu na mabibi zetu. Fikiria yule Sungura mjanja aliyekua akimsumbua Fisi kila siku, Simba aliyesifika kuwa ni mbabe wa nyika, Tembo mnyama mkubwa Zaidi na vipi kuhusu Dubu na Mbwa mwitu visilani vyao? Ni sloti ya Forest Rock inakuja na haya yote hakika utafurahia.

Leo nataka nikwambie kuwa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekuja na Sloti ya Wanyama kama Sungura, Simba, Dubu na Tembo wote wakiwa na jukumu moja tu la kukuburudisha na kukupa ushindi.

Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi.

Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura alievaa headphone, Paka mwitu mpiga gitaa na Dubu ambaye anasimama kama meneja, Simba ni bonge la msanii na Tembo akiwa kama mpiga ngoma mkubwa. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya Meridianbet? Jiunge leo na ushinde.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Forest Rock

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.

Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet upate bonasi kibao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,208FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles