27.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 17, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Singida BS yamuanika Patrick Aussems

Na Mwandishi Wetu

Klabu ya Singida Black Stars imemshauri aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrick Aussems kuanzisha timu kama anaguswa na soka Tanzania ili afanye yale anayoshari kwa vitendo.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Februari 19,2025,imejibu kauli ambazo kocha huyo amekuwa akizitoa ikiwamo sababu za kufukuzwa kwake kwenye klabu hiyo.

Taarifa hiyo imesema kuwa Aussems aliondolewa kutokana na matokeo mabaya ya michezo mitatu ikiwamo pia kukosa sifa ya kuwa kocha mkuu kulingana na elimu yake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
595,000SubscribersSubscribe

Latest Articles