27.2 C
Dar es Salaam
Monday, November 18, 2024

Contact us: [email protected]

Silaa aagiza kukamatwa kwa Paul Mushi ambaye ni kinara wa kuvamia maeneo na kuuza

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagizwa kusakwa kwa kinara wa kuvamia maeneo ya watu na kuwamilikisha watu kinyume na utaratibu ajulikanae kama Paul Mushi.

Waziri Silaa ametoa maelekezo hayo Februari 22, 2024 kwa Kamanda wa Polisi wilaya ya Kinondoni wakati alipotembelea kiwanja Namba 411 Kitalu E, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Eneo hilo ambalo kwa mujibu wa Waziri wa Ardhi linamilikiwa na Mzee
Peter Mlaguzi na limekuwa likikaliwa na watu ambao sio wamiliki kwa muda mrefu wakidai kupewa umiliki na Paul Mushi.

Kwa mujibu wa Waziri Silaa, Paul Mushi amekuwa ni maarufu kwa kuvamia maeneo ya watu na kuwamilikisha wengine bila kufuata utaratibu wa umilikishaji wa maeneo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles