28.7 C
Dar es Salaam
Sunday, November 28, 2021

Siku ya Wanawake Dunia, Startimes yawashika mkono watoto wenye saratani

Kila ifikapo machi 8 kila mwaka jamii mbalimbali duniani kote huungana kuadhimisha siku ya wanawake duniani, maadhimisho hayo mwaka huu yamekuja na kauli mbiu isemayo “Usawa kwa Wote” na kuwaunganisha wanawake duniani kutetea haki zao hususani kujiinua kiuchumi.

Kuelekea kuadhimisha siku hiyo, kampuni ya ving’amuzi vya Startimes iliungana na wagonjwa wa saratani waliopo Hospitali kuu ya taifa Muhimbili kwa kutoa msaada na kujumuika nao katika siku hiyo muhimu.

Akizungumza na MTANZANIA, Meneja Mahusiano kwa Umma wa Startimes, Pendo Benson ameeleza kuwa lengo kuu la kuwatembelea watoto wenye saratani ni kuwa karibu na wagonjwa hao na kurudisha fadhila kwa jamii yenye uhitaji.  

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,206FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles