30.2 C
Dar es Salaam
Sunday, September 25, 2022

SHILOLE: SIWARUHUSU WANANGU KUNIIGA

NA GLORY MLAY


STAA wa muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesema mavazi anayovaa kwenye shoo au sehemu mbalimbali za starehe hayupo tayari kuwaona watoto wake wakiiga.

Mrembo huyo amedai kuwa watoto wake wanatakiwa kujua kuwa mama yao yupo kazini na si aina ya mavazi anayopenda kuyavaa.

“Watoto wangu nawalea katika maadili siwezi kuwalea maisha ya kistaa kama ambayo mimi nayafanya, mavazi ninayovaa sehemu mbalimbali ni kutokana na kazi yangu na wanalijua hilo na wao hawana dalili za kuja kuwa mastaa, hivyo lazima wakae mbali na aina hiyo ya mavazi kwa kuwa wanalelewa mazingira ya dini,” alisema Shilole.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
201,896FollowersFollow
553,000SubscribersSubscribe

Latest Articles