27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Shilole achekelea kufuta tattoo ya Nuh

shshiNA CHRISTOPHER MSEKENA

DIVA matata kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema anajisikia fahari kufuta tattoo iliyokuwa na jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.

Akibonga na Swaggaz, Shilole alisema kwa muda mrefu alikuwa kwenye uhusiano usio na maana, lakini sasa anafurahi kujiondoa kwa Nuh na kufanikiwa ku­futa tattoo yenye jina la zilipendwa wake huyo.

“Ni maamuzi tu, huu ni mwili wangu kwahiyo wakati nilipokuwa naye niliamua kuandika jina lake na sasa nimeondoa na kuchora ua. Sitaki kuliona jina lake kifuani mwangu tena, maana kila mtu sasa ana maisha yake,” alisema Shilole maarufu pia kama Shishi Baby.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles