25.1 C
Dar es Salaam
Saturday, December 9, 2023

Contact us: [email protected]

Serikali yatoa sababu ya kuvunja mkataba na Kampuni ya Indo Power

Na Arodia Peter, Dodoma

Serikali yatoa sababu ya kuvunja mkataba na Kampuni ya Indo Power Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda amesema Kampuni ya Indo power ya Kenya iliyokuwa imeingia mkataba wa kununua korosho tani 100,000 ilistahili na ilkuwa halali.

Kakunda ameyasema hayo wakati akihitimisha hotuba yake ya bajeti bungeni leo, Mei 15, ambapo amesisitiza kuwa kampuni hiyo inatambulika nchini Kenya, Afrika Mashariki na dunia nzima.

Amesema kilichosababisha Tanzania kuvunja mkataba huo ni baada ya kampuni hiyo kuchelewa kukamilisha taratibu kadhaa walizokubaliana.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles