27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Serikali yahimiza ushirikiano katika kuimarisha utendaji wa Sekretarieti ya SADC

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene ameishauri Sekretarieti ya SADC kushirikiana katika kuimarisha utendaji wa kazi wa Kituo cha udhibiti wa maafa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera ,Bunge na Uratibu, George Simbachawene akiwa katika mkutano wa kamati ya Mawaziri wanaoshughulika na udhibiti wa maafa kwa nchi wanachama wa SADC uliofanyika Lilongwe Malawi.

Waziri Simbachawene ameyaasema hayo leo Julai 20, 2022 katika mkutanowa kamati ya Mawaziri wanaoshughulika na udhibiti wa maafa kwa Nchi wanachama wa SADC uliofanyika Lilongwe nchini, Malawi.

Katika kikao hicho waziri Simbachawene aliaambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Maafa, Ofisi ya waziri Mkuu, Meja Jenerali Michaeli Mumanga aliyeongoza ujumbe wa Tanzania.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles