SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA: MASOGANGE MIKONONI MWA POLISI

0
1197

Mrembo Agness Gerald (Masogange) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu (Central) akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, Masogange alikamatwa jana usiku na mpaka muda huu bado anashikiliwa kituoni hapo.

Mwanadada huyo ni mmoja kati ya wasanii wengine wa Tanzania walioitwa polisi kwa tuhuma za kutumia au kuuza dawa za kulevya katika operesheni kali inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here