25.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

SAKATA DC CHEMBA LAZUA TAHARUKI, WATU WAKIMBILIA MAPORINI KUJIHAMI

Mjumbe wa Serikali ya kijiji, Salum Ikanda anasema sasa ni tafrani na amani ni ndogo kijijini hapo.

Watu wamekimbia maporini kujihami, walosalia majumbani ni wanawake tu.

Gari mbili za polisi zafika kijiji na kuanza kukamata watu.

Hadi sasa watu takriban 30 wamekwisha kamatwa na polisi na kati yao kuna viongozi wa kijiji wanne wakiwemo Diwani Kata ya Jangalo-Seraji Lubuva, Mwenyekiti wa Kijiji-Bashiru Kilasi,  Mwenyekiti Mradi wa Maji-Ibrahim Jororo na Mtendaji wa Kijiji- Muhammed Chobu

Kutokana na hali ilivyo sasa, Ikanda anasema kama Baraza la kijiji hawajui chakufanya kwani hawezi hata  kukutana, hii ikiwa na maana watu wametawanyika wamekimbia makazi yao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles