30.9 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Safari ya Mbappe anawakaribisha vipi klabu ya ndoto yake?

Wiki Bomba UCL na Ushindi wa Meridianbet

Wiki hii inakuwa tamu zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Mbappe akiwa anakutana na klabu yake pendwa anayo husishwa nayo zaidi ya Real Madrid. Meridianet wana mzigo wako kwenye gemu hii.

Messi atakuwa akitazamwa zaidi kwenye gemu hii, ambayo kutokana na muda wake na Barcelona ni kama amekuwa na upinzani wa kudumu na Real Madrid katika maisha yake ya soka. Unadhani atatandika mikwaju mingapi? Bashiri Messi kuwa mfungaji leo, au idadi ya magoli atakayoshinda hapa Meridianbet.

PSG walifanya kazi ya ziada Kundi A kusonga kwenye hatua ya 16 bora. Wakati Real Madrid wakiwa vinara wa kundi D, kuingia kwenye hatua ya 16 bora.

Meridianbet wamekupa odds bomba za gemu hii, una uwanja mkubwa sana wa kuamua ubashiri kipengele gani. Real Madrid kuondoka na ushindi ugenini amepewa odss ya 3.43, wakati mwenyeji akimkalisha mgeni wake anakupa odds ya 2.12.

Ukiachana na mechi hii, gemu zingine kibao zinazoweza kukulipa UCL. Leo Sporting anaumana uso kwa uso na kinara wa EPL Man City, bila shaka Guardiola hana mpango wa kuondoka mikono mitupu, mechi hii imepewa odds tamu hapa kwenye machaguo ya Meridianbet. Usiiache kwenye jamvi lako.

Pia Inter Milan anavaana na Liverpool siku ya Jumatano, tayari Klopp amesuka majeshi yake kwa ajili kufanya uvamizi na kuondoka na ushindi pale Milan. Inter Milan amepewa odds kubwa kusalia na ushindi, akiwa na odds 3.23 ikiwa atasalia na ushindi, na Man City akiwa na odds 2.1 ikiwa ataondoka na ushindi.

Salzburg pia anaingia dimbani dhidi ya Bayern Munich, na anaonekana kuwa na matumaini finyu ya kuondoka na ushindi licha ya mpango wake kukaza kwenye mechi hii. Meridianbet wamekupa odds ya 7.25, wakati sare ikiwa na odds ya 5.29 na Bayern akiwa na odds ya 1.3 kuondoka na ushindi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles