Roy Captain aiweka wazi ‘Hera Mipando’

0
965

NAIROBI, KENYA


MSANII wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, Roy Captain, ameibuka kivingine na wimbo, Hera Mipando akiwa amemshirikisha mrembo, Cecile Jaber.

Akizungumza na MTANZANIA, Captain wimbo huo umebeba ujumbe wa mapenzi ya siri hayana kujitoa kwa sababu mahusiano hayo yanahusu watu wengi.

“Upendo wa kweli haupaswi kuwa wa kibinafsi labla kama kutakuwa na mambo mengine nyuma ya pazia itabidi mfanye siri ingawa hayo nayo hayana ‘komitimenti’ kwa sababu mpo wengi mpangoni, nimeachia video hivi karibuni chini ya Supersquad Production na sasa ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube,” alisema mwanamuziki huyo wa Zouk Rhumba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here