23.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

Rose Ndauka: Sisikitiki kukosa tuzo za filamu

rose_ndauka_2012NA RHOBI CHACHA

WAKATI tuzo ya mwigizaji bora wa kike ikienda kwa Irene Paul, mwigizaji mwenzake, Rose Ndauka ameibuka na kukubali matokeo hayo huku akidai wakati alipopata tuzo nyingine wengine hawakupata.

Rose Ndauka alikubali kwamba aliyestahili ni Irene Paul kwa kuwa ni changamoto kwake na kwa wasanii wengine.

“Nakubaliana na matokeo sisikitiki kukosa tuzo hiyo, siwezi kuwalalamikia wananchi kwani wao ndio walioona filamu zilizoshindanishwa wakachagua,’’ alisema Rose na kuongeza:

“Kwenye tuzo nyingine mbona huwaga nashinda nao hawachukii kushinda kwangu, hivyo nami sipaswi kuchukia nakubaliana na matokeo nitafanya kazi nzuri zaidi ili nichukue tuzo hiyo mwakani,” alimaliza Rose.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles