27.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Ronaldo arudi Man United

HATIMAYE Cristiano Ronaldo amerejea rasmi Manchester United, klabu aliyoondoka mwaka 2009 na kujiunga na Real Madrid.

Taarifa za kwenda Old Trafford ni kama zimeshawangaza wengi kwani Mreno huyo alikuwa akihusishwa zaidi na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya England, Manchester City.

Ronaldo mwenye umri wa miaka 36, atafanyiwa vipimo jijini Lisbon, Ureno, ambako inaelezwa ameshawasili kwa kutumia ndege yake.

Kwa mujibu wa mtandao wa SunSport, Man United wamempa mkataba wa miaka miwili mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles