31.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

Rob Kardashian ashtakiwa

Rob Kardashian
Rob Kardashian

CALIFORNIA, MAREKANI

Mume mtarajiwa wa Blac Chyna ambaye ni kaka wa Kim Kardashian, Rob Kardashian ameshtakiwa kwa kuendesha gari kwa kasi huku akiwa na mpenzi wake mwanzoni mwa mwaka huu.

Rob mwenye umri wa miaka 29, alifikishwa mahakamani, kwa kosa hilo na kutakiwa kulipa faini ya dola 1,100 na kufungiwa kuendesha gari hadi pale atakapo ruhusiwa.

Inadaiwa kwamba hiyo sio mara ya kwanza kwa Rob kukamatwa kutokana na kosa kama hilo, awali aliwahi kukamatwa kwa kosa la kutumia leseni ambayo muda wa matumizi umekwisha.

“Ni kweli nimefanya kosa na natakiwa kuwajibika, haya ni makosa ya kawaida japokuwa mwendo kasi unahatarisha maisha yangu, hivyo nastahili kuwajibika,”  alisema Rob

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles