23.3 C
Dar es Salaam
Sunday, October 6, 2024

Contact us: [email protected]

RIHANNA: NINGEOLEWA NA DAVID BECKHAM

New york, marekani

Msanii wa muziki wa pop nchini marekani, rihanna fenty, ameweka wazi kuwa kama angekuwa kuolewa na mwanamume mchezaji wa soka angemchagua staa wa zamani wa klabu ya manchester united na real madrid, david beckham, badala ya cristiano ronaldo.

Msanii huyo amedai beckham alimfanya apende soka na angekubali kuolewa na mchezaji huyo lakini aliwahiwa na posh spice ‘victoria beckham’.

“kwa sasa naweza kusema kuwa kwenye soka navutiwa na uwezo wa nyota wa real madrid, cristiano ronaldo, lakini miaka ya nyuma nilikuwa navutiwa na david beckham, ningeweza kuolewa na yeye kama angekuwa tayari lakini nimewahiwa na victoria,” alisema rihanna.

Msanii huyo aliongeza kwa kusema kwamba hakuwa na ndoto za kuja kuwa msanii, ndoto zake zilikuwa kuja kufanya kazi benki, mwalimu, mitindo, mambo ya anga na kuigiza.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles