22.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 17, 2024

Contact us: [email protected]

Rick Ross, Lira warudiana

rick-ross-lira-galoreNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa hip hop nchini Marekani, Rick Ross na mpenzi wake, Lira Galore, wamerudiana baada ya kuachana kwa muda mrefu.

Mrembo huyo mwishoni mwa wiki iliyopita aliweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram, ambayo inaonesha wakiwa pamoja na Rick Ross.

“Kila kitu kipo sawa,” aliandika mrembo huyo kwenye akaunti hiyo. Hata hivyo, mrembo huyo alikanusha uvumi wa kwamba alikuwa anatoka na mpenzi wa zamani wa Amber Rose, Wizkhalifa.

“Amber Rose ni rafiki yangu wa karibu, nashangaa kuona habari kwamba ninatoka na Wizkhalifa, hakuna ukweli wowote juu ya habari hizo,” alisema Lira.

 

 

 

 

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles