24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Rebecca Mishumi kuzindua ‘Nipe ‘Hatua’

Na Christppher Msekena, Mtanzania Digital

Mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili, Rebecca Mishumi anatarajia kuzindua albamu yake mpya, Nipe Hatua Jumamosi hii mkoani Kagera.

Akizungumza na www.mtanzania.co.tz Rebecca amesema uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Sayari Nyakanazi Biharamulo na utapambwa na waimbaji mbalimbali.

Albamu ni audio na ninawakaribisha watu wote waje kwa wingi kwasababu mbali na mimi kutakuwa na waimbaji kama Good Music Darassa, Bosco, Dinnah Steven, Happy, Enock na Brother K.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,264FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles