29.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 28, 2021

Ray Chris aachia ‘Tunaendana’

NEW YORK, MAREKANI

KUTOKA nchini Marekani, msanii wa kizazi kipya, Ray Chris a.k.a Congo Boy, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake, Tunaendana aliyoiachia mtandaoni Aprili, mwaka huu.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Self Kuwa ambaye ni meneja wa Lyu Records inayomsimamia msanii huyo, alisema Ray Chris anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki waliopo Afrika ili muziki wake ufike mbali zaidi.

“Ngoma tayari ipo kwenye mitandao mbalimbali kama vile audiomac, sound cloud na YouTube hivyo tunaomba sapoti ili Ray na lebo yetu ya Lab Ya Ukweli Records tufike mbali,” alisema Self Kuwa.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,609FollowersFollow
519,000SubscribersSubscribe

Latest Articles