33.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

RAIS YOWERI MUSEVENI KUWASILI NCHINI KENYA KESHO

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajiwa kuwasili nchini Kenya kesho Jumatano kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Rais Museveni atapokelewa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta mjini Mombasa, ambapo viongozi hao wawili watafanya mazungumzo ya pamoja na baadae kufanya mkutano na waandishi wa habari.

Lakini pia akiwa Mombasa Rais Museveni akiongozana na mwenyeji wake Rais Kenyatta watatembelea bandari ya Mombasa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles