24.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 18, 2024

Contact us: [email protected]

RAIS WA GAMBIA ATAKIWA KUJIUZULU

BANJUL, GAMBIA


yahya-jammehRAIS wa Gambia, Yahya Jammeh, atakuwa kiongozi wa waasi iwapo atashindwa kuondoka madarakani mwishoni mwa muda wake wa uongozi Januari mwakani.

Msemaji wa muungano wa upinzani ambao ulimuingiza madarakani Rais mteule Adama Barrow, amesema kiongozi huyo wa muda mrefu hana mamlaka ya kikatiba kubakia madarakani baada ya Januari.

Jammeh awali alikubali kushindwa baada ya miaka 22 madarakani, lakini siku chache baadaye alibatilisha matokeo ya uchaguzi akitaka urudiwe upya.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles