30.2 C
Dar es Salaam
Saturday, April 20, 2024

Contact us: [email protected]

RAIS WA CHAD AWASILI SUDAN KWA ZIARA YA SIKU MOJA

Rais wa Chad Idriss Deby amewasili mjini Khartoum katika ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini Sudan ambapo pamoja na mambo mengine watajadili uhusiano uliopo katika nchi hizo mbili.

Deby alipokewa kwenye uwanja wa ndege na mwenyeji wake Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, viongozi kadhaa wa Sudan na wawakilishi wa mamlaka ya kidiplomasia iliyoidhinishwa Sudan.

Marais hao wawili wanatarajiwa kufanya mazungumzo katika Ikulu ya rais ili kujadili uhusiano wa nchi hizo mbili na masuala ya kikanda yanayozihusu nchi zote mbili.

Mazungumzo hayo yanalenga kuzifanya pande hizo mbili kuongeza ushirikiano kati yao katika nyanja mbalimbali.

Baada ya mazungumzo yao, marais hao watafanya pia mkutano na waandishi wa habari ambapo pia wataeleza mambo mengi kwa kina.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles