23.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 10, 2024

Contact us: [email protected]

Rais Samia atunuku Nishani ya miaka 60 ya JWTZ

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo Agosti 29,2024 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla katikati na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete wakiwa katika hafla ya kutunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es Salaam.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles