Rais Samia atangaza neema kwa wasanii

0
425

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

Rais wa Samia Suluhu amesema wasanii wa muziki nchini wataanza kulipwa milabaha kutokana na kazi zao kuchezwa katika vituo vya redio na runinga kuanzia Desemba mwaka huu.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akizungumza na vijana kwenye Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza.

“Serikali imeimalisha hati miliki za wasanii, nataka kuwaambia kwamba kuanzia mwaka huu wasanii wataanza kulipwa milabaha ya kazi zao zinazochezwa redioni na televisheni,” amesema Rais.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here