30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, November 30, 2023

Contact us: [email protected]

Rais Palestina akutana na Israel

IKIWA ni mara ya kwanza baada ya miaka 10, Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas, amekutana na kufanya mazungumzo na Serikali ya Israel.

Rais Abbas amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Israel, Benny Gantz, ambapo mbali ya usalama, walizungumzia masuala ya kiuchumi.

Katika mazungumzo hayo, Gantz alimuahidi Rais Abbas kwamba Israel iko tayari kuweka nguvu kwenye kuimarisha uchumi wa Palestina.

Hatua hiyo ya pande mbili kukutana mezani inakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden, kuzitaka Palestina na Israel ‘kuzika’ tofauti zao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles