25.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 6, 2022

Contact us: [email protected]

Rais John Magufuli kuzindua ndege mpya kesho

Rais Dk. John Magufuli
Rais Dk. John Magufuli

Rais John Magufuli kesho atazindua ndege 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuhudumia wananchi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Teminal1).

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zenye uwezo wa kubeba abiria 76, zimetengenezwa na kiwanda cha Bombadier nchini Canada.

Pamoja na mambo mengne, sifa za ndege hizi aina ya BOMBARDIER DASH8 Q400 ni  kuwa na Urefu: (Length) mita 32.6, Kimo: (Height) futi 6.40,  Upana: (Width) futi 8, Nguvu/Injini: (HorsePower)10,142 HP,  Spidi: (AirSpeed) 666.7 Km/h na Umbali inayoenda: (Max.Range) km 2522.4.

Pia kwa Umbali Kuruka Juu: (Cruising Altitude) futi 27,000,  Uzito Wa Kubeba: (Max Payload) tani 8.7, Full Tank: (Fuel Capacity) lita 6617,  muda inayotumia kufika umbali wa juu: (Time to Cruising Altitude) dakika 18.

Na kwa upande mwingine, zina urefu njia ya kurukia: mita 1067,  urefu njia ya kutua : mita 1286,  ulaji mafuta: (Fuel Economy/Km) 16,940/-Tzs kila 1.8 km lakini pia bei kwa ndege moja: (Price range) ni bilioni 66.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,606FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles