23.3 C
Dar es Salaam
Friday, May 27, 2022

Profesa Kabudi aipongeza Manispaa ya Kinondoni maonesho nanenane

Mwandishi wetu , Morogorogo

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Profesa Palamagamba Kabudi ametembelea Banda la Wilaya ya  Kinondoni katika  maonesho ya wakulima ya  nanenane mkoani Morogoro na kuipongeza kwa kuwa na vitu ambavyo vinavutia watazamaji.

Profesa Kabudi amesema katika banda hilo amevutiwa na Teknolojia ya kilimo cha mjini na Vijijini ikiwemo kilimo cha kisasa cha mbogamboga na mazao ya chakula sambamba na ufugaji wa kisasa.

Ameongeza kuwa kupitia  maonesho hayo wananchi wa Dar es Salaam wana kila sababu ya kujifunza teknolojia hizo kutoka Manispaa ya Kinondoni kwa kuwa itawawezesha kuendesha shuguli zao za kilimo cha mijini.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,437FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles