27.5 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Polisi Tanzania kumekucha

Na Winfrida Mtoi,Mtanzania Digital

Kikosi cha Polisi Tanzania kimeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika usajili unaondelea, hadi sasa kikinasa saini za nyota watatu.


Hadi sasa maafande hao wa Jeshi la Polisi, wamenasa saini ya beki wa Yanga, Said Juma Makapu, kiungo Tariq Simba(Biashara United) na mshambuliaji Vitalis Mayanga(Kagera Sugar).


Baada ya msimu wa 2020/2021 kumalizika, timu hiyo iliyomaliza ligi katika nafasi ya sita, iliachana na wachezaji 13.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles