24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Polisi Dar yazungumzia picha chafu za Harmonize

Na Mohammed Ulongo, Dar es Salaam

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa tuhuma za picha za msanii Harmonize zilizosambaa mitandaoni siku chache zilizopita.

Kamanda Lazaro Mambosasa ameyawema hayo leo Aprili 20, 2021 jijini Dar es Salaam n kuthibitisha Msanii wa Filamu, Kajala Masanja na binti yake Paula pamoja na wasanii Baba Levo, Rayvanny wameachiliwa kwa dhamani huku upelelezi mwingine ukiwa bado unaendelea na endapo watapatikana na hatia Sheria itachukua mkondo wake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,264FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles