26.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda atembelea Banda la WHI Sabasaba

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda(mwenye suti nyeusi kulia) akipata maelezo kuhusu miradi inayotekelezwa na Taasisi ya Nyumba ya Watumishi Housing Investment(WHI) kutoka kwa Meneja Masoko na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa taasisi hiyo, Raphael Mwabupombe(wapili kushoto) alipotembelea Banda la WHI lililopo katika jengo la Karume kwenye maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2022.

Watumishi wa Taasisi ya Watumishi Haousing Investment wakiwa tayari kuhudumia Watanzania mbalimbali wanaotembelea bamba lao kweny maonyesho ya Sabasaba katika Jengo la Karume jijini Dar es Salaam.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles