27.9 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Picha|Majaliwa aongoza kikao cha tisa cha kamati ya Taifa ya Sensa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) Februari 25, 2023 jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) Februari 25, 2023 jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akizungumza wakati wa kikao cha Tisa cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichofanyika.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. John Jingu akizungumza wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya Makatibu Wakuu wakifuatilia kikao cha kikao cha Tisa cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) Februari 25, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa (kulia) akiteta jambo na Mtakwimu Mkuu wa Zanziabr, Salum Khamis (kushoto) wakati wa kikao hicho.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akiteta na Katibu Mkuu wake, Dk. Jim Yonazi wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa (kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu,) Dk. John Jingu wakati wa kikao hicho.Kushoto ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar, Balozi Haji Hamza.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles