24.1 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| Ziara ya Waziri Simbachawene Msomera

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema wananchi waliotoka katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari nakuja kuishi katikai Kijiji cha Msomera, sasa wanauwezo wa kumiliki ardhi na makazi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, George Simbachawene (katikati) akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Abubakari Kunenge.

Kauli hiyo ameitoa wakati akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika ziara maalumu ya kukabidhi mradi wa uendelezaji wa kijiji cha Msomera kwa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulika na Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, Dk. Jim Yonazi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles