Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa (katikati) akimkabidhi cheti, ,Mhazini Mkuu wa Benki ya NMB (NMB Bank’s treasurer), Aziz Chacha kwa kutambua mchango wa NMB katika kufanikisha mashindano ya Kitaifa ya Ubunifu, Sayansi na Teknolojia (makisatu 2021) yaliyofanyika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma jana. Kulia kabisa ni Naibu waziri wa Elimu,Sayansi na Tekinolojia, Omari Kipanga.

