HomeBiashara na Uchumi Biashara na UchumiKitaifa Picha| Waziri Dk. Kijaji aongoza wadau kutembelea banda la Brela mkoani Tanga By Mtanzania Digital May 30, 2022 0 1534 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Hashil Abdallah, akipata maelezo ya namna Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inavyotoa huduma zake kwenye Maonesho ya Tisa ya Biashara na Utalii leo Mei 30, 2022 wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho hayo, kwenye uwanja wa Mwahako mkoani Tanga. Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji, akipata maelezo juu ya huduma tunazozitoa kwenye maonesho ya Tisa ya Biashara na Utalii kutoka kwa Afisa Leseni wa BRELA, Saada Kilabula. Maonesho haya yameanza Mei 28, 2022 mkoani Tanga. BRELA inawahamasisha wananchi kutembelea banda lake ili kupata huduma mbalimbali. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Hashil Abdallah, akipata maelezo ya namna Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inavyotoa huduma zake kwenye Maonesho ya Tisa ya Biashara na Utalii leo Mei 30, 2022 wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho hayo, kwenye uwanja wa Mwahako mkoani Tanga. Afisa Tehama Msaidizi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Hillary Mwenda(kulia) akitoa usaidizi wa usajili wa Jina la Biashara kupitia mfumo wa usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) kwa, Emmanuel Mallya((aliyesimama) kutoka Korogwe mkoani Tanga kwenye Maonesho ya Tisa ya Biashara na Utalii yanayofanyika katika Uwanja wa Mwahako mkoani Tanga. Katika maonesho hayo BRELA pia inatoa huduma za Usajili wa Kampuni, Majina ya Biashara, Alama za Biashara na Huduma, kupata Leseni ya Kiwanda, Leseni ya Biashara kundi A, kupata Hataza na kutoa mafunzo pamoja na usaidizi juu ya kutumia mfumo wa ORS. Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Julieth Kiwelu(kulia) akitoa elimu ya Hataza kwa, Musini Abdallah katika Maonesho ya Tisa ya Biashara na Utalii yanayofanyika katika Uwanja wa Mwahako mkoani Tanga. Katika maonesho hayo BRELA pia inatoa huduma za Usajili wa Kampuni, Majina ya Biashara, Alama za Biashara na Huduma, kupata Leseni ya Kiwanda Leseni ya Biashara kundi A, na mafunzo pamoja na usaidizi juu ya matumizi ya mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS). Msajili Msaidizi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Selemani Selemani akitoa usaidizi kwa, Hafsa Kwallow juu ya namna ya kujaza katiba ya kampuni kwenye Mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) kwenye Maonesho ya Tisa (9) ya Biashara na Utalii yanayofanyika katika Uwanja wa Mwahako mkoani Tanga hadi tarehe 6 Juni, 2022. Katika maonesho hayo BRELA inatoa huduma za Usajili wa Kampuni, Majina ya Biashara, Alama za Biashara na Huduma, kupata Leseni ya Kiwanda, Leseni ya Biashara Kundi A, kupata Hataza na kutoa mafunzo na usaidizi juu ya matumizi ya mfumo wa ORS. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleSerikali: Mradi wa Timiza Malengo unalenga kuwasaidia wasichana kutimiza ndoto zaoNext articleRC Mwanza amtaka CAG Nyamagana Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Uncategorized Waziri Simbachawene: Taasisi za umma zingatieni usalama na afya mahali pa kazi Elimu na Teknolojia DAS Mhagama atoa somo kwa watendaji Biashara na Uchumi Mradi wa kufua umeme Rusumo kuzinduliwa Feb.2025 LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Uncategorized Waziri Simbachawene: Taasisi za umma zingatieni usalama na afya mahali pa kazi Elimu na Teknolojia DAS Mhagama atoa somo kwa watendaji Biashara na Uchumi Mradi wa kufua umeme Rusumo kuzinduliwa Feb.2025 Michezo Kitaifa Mjerumani amrithi Gamondi Yanga Burudani Rais Samia amlilia King Kikii Load more