28.9 C
Dar es Salaam
Friday, July 19, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| Tikiti la kampuni ya East West Seed

Balozi wa Kampuni ya East West Seed yenye Makao Makuu yako mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Msanii Mrisho Mpoto, akionyesha Tikiti Maji lililozalishwa na kampuni hiyo Dar es Salaam Leo Julai 7,2024 Kiwakati wa Maonyesho ya 48 ya Biashara maarufu Sabasaba yenye kauli mbiu ya Tanzania Mahali sahihi pa Biashara na Uwekezaji. Kulia ni Afisa Kilimo Kiongozi wa Kampuni ya East West Seed, Daniel Kabaka. Picha na Imani Nathaniel.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles