Afisa Mkuu Rasli Mali watu Benki ya NMB, Emmanuel Akonaay (mwenye jezi nyeupe) pamoja na Meneja Kanda ya Ziwa, Baraka Ladislaus wakishiriki kwenye mbio za kilomita 21 kwenye Kilimarathon 2022. Benki hiyo kupitia klabu yake ‘NMB jogging’ ilishiriki kikamilifu kwenye mbio za 5, 21 na 42.Baadhi ya wafanyakazi wa Benkinya NMB wakiwa na furaha baada yakumaliza mbio za kilomita 21 kwenye Kilimarathon. Benki hiyo kupitia klabu yake ‘NMB jogging’ ilishiriki kikamilifu kwenye mbio za 5, 21 na 42.