24.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 30, 2023

Contact us: [email protected]

Picha| Mbunge Mwakagenda atembelea Kiwanda cha kuzalisha taulo za kike

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lady in Red Boxing Promotion ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, akizungumza na uongozi wa Kiwanda cha Baby Diaper kinachodhalisha taulo za kike Kibaha Mkoa wa Pwani jana ambacho ni mmoja wa wadhamini wa pambano la Bondia Hassan Mwakinyo  ambalo litafanyika Aprili 23 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua taulo za kike 40,000 kwa wanafunzi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Meneja Bidhaa wa Kiwanda cha Baby Diaper, Lucia Msami akimwonyesha taulo za kike Mkurugenzi wa Kampuni ya Lady in Red Boxing Promotion ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, baada ya kutembelea kiwanda hicho Kibaha Mkoa wa Pwani jana ambacho ni mmoja wa wadhamini wa pambano la Bondia Hassan Mwakinyo ambalo litafanyika Aprili 23 kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua taulo za kike 40,000 kwa wanafunzi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,198FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles