26.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 16, 2024

Contact us: [email protected]

Picha: Mahafali ya Shule ya St. Rosalia Kinyerezi yafana

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mahafali ya 10 ya shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala jijini Dar es Salaam yafana zaidi tazama picha hapa chini.

Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala, jijini Dar es Salaam, Lilll Asela Edward (wakwanza kulia) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa katika mahafali hayo ya 10 ya shule ya Msingi.
Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala, jijini Dar es Salaam, Lilll Asela Edward(katikati) akifatilia moja ya tukio katika mahafali hayo.
Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala jijini Dar es Salaam, Lilll Asela Edward akiwatambulisha wageni wakati wa mahafali hayo.
Mkugenzi wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala jijini Dar es Salaam, Paul Chrispine Mfungahema akifuatlia mahafali hayo.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles