25.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 20, 2021

Picha: Maadhimisho ya Sita ya Utafiti na Ubunifu chuo Kikuu Dar es Salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalam Mwandamizi wa Ubunifu na Maendeleo wa Benki ya NMB Senior Specialist Innovation Lab NMB), Jacob Mrema alipotembelea Banda la NMB wakati wa Maadhimisho ya Sita ya wiki ya Utafiti na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kufanyika katika Chuo hicho. Katikati ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa William  Anangisye.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,961FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles