HomeAfya na Jamii Afya na JamiiKitaifa Picha| Kamisheni ya TACAIDS yakutana kujadili masuala mbalimbali By Mtanzania Digital September 3, 2022 0 1061 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Hedwiga Swai akiongoza kikao cha 50 cha Kamaisheni hiyo kilichofanyika Dar es Salaam Agosti 31, mwaka huu. Mjumbe wa Kamisheni ya TACAIDS, Peter Maduki akifafanua umuhimu wa kujaza nafasi zilizobaki za makamishina ili kuongeza tija katika upatikanaji wa michango yao kwa lengo la kuongeza maboresha katika utekelezaji wa majukumu ya TACAIDS wakati wa kikao cha 50 cha Kamaisheni hiyo kilichofanyika Dar es Salaam Agosti 31, 2022. Wajumbe wa Kamisheni ya TACAIDS na Menejimenti walioshiriki kikao cha 50 cha Kamisheni hiyo kilichofanyika Dar es Salaam Agosti 31, 2022. Katibu wa Kamisheni ya TACAIDS, Dk. Lenard Maboko akitoa ufafanuzi wa fedha za ATF kulingana na mgawanyo wake pamoja na hali ya ufatiliaji pindi wanapo peleka fedha za ununuzi wa dawa Wizara ya Afya. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleSimbachawene akabidhiwa Jedwali la uchambuzi wa SheriaNext articleHii ni wiki ya Derby, dabika na Meridianbet na ushinde mihela Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Biashara na Uchumi Mradi wa kufua umeme Rusumo kuzinduliwa Feb.2025 Michezo Kitaifa Mjerumani amrithi Gamondi Yanga Burudani Rais Samia amlilia King Kikii LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Biashara na Uchumi Mradi wa kufua umeme Rusumo kuzinduliwa Feb.2025 Michezo Kitaifa Mjerumani amrithi Gamondi Yanga Burudani Rais Samia amlilia King Kikii Uncategorized BoT kuimarisha usimamizi wa mikopo ya mitandaoni kwa manufaa ya wananchi Kitaifa Sh bilioni 20 zakusanywa treni ya SGR Load more