HomeAfya na Jamii Afya na Jamii Picha| Dk. Maboko aongoza watumishi TACAIDS mazishi ya Kihongo By Mtanzania Digital October 21, 2022 0 1758 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko wa pili kutoka kushoto akiwaongoza wadau wa TACAIDS kuweka shada la maua kwenye kaburi la Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum- TACAIDS. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Ndugu Yasin Abas akifuatiwa na Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la watu wanaoishi na VVU (NACOPHA), Vitalis Makayula pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa NACOPHA, Deogratius Rutatwa mazishi yamefanyika Oktoba 20, 2022 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum – TACAIDS.Mazishi ya Kihongo yamefanyika Oktoba 20, 2022 Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la watu wanaoishi na VVU(NACOPHA), Deogratius Rutatwa akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum – TACAIDS. Shughuli za mazishi zimefanyika Oktoba 20, 2022 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS,) Dk. Leonard Maboko akitoa salamu za pole kwa niaba ya Kamisheni na Menejimenti ya TACAIDS katika msiba wa Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum – TACAIDS. Sehemu ya waombolezaji. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleUjenzi wa kituo mahiri cha zao la ndizi kukamilikaNext articleWatu milioni 1.6 wamepata chanjo kamili ya uviko 19 Mwanza Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Kanda ya Ziwa Hatuna huruma, tunabeba vyote-Dk. Biteko Siasa Ushindi wa CCM unatokana na imani ya wananchi kwa kazi nzuri -CPA MAKALLA Siasa Tumejipanga kuimarisha utalii wa Malikale- CC DKT. DORIYE LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Kanda ya Ziwa Hatuna huruma, tunabeba vyote-Dk. Biteko Siasa Ushindi wa CCM unatokana na imani ya wananchi kwa kazi nzuri -CPA MAKALLA Siasa Tumejipanga kuimarisha utalii wa Malikale- CC DKT. DORIYE Afya na Jamii Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania Afya na Jamii Kaya maskini milioni 1.2 kunufaika bima ya afya kwa wote Load more