Picha: Benki ya Standard Chartered yafuturisha wateja Dar

0
165
Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered. Tanzania, Sanjay Rughani.

Wateja wa wa Benki ya Standard Chartered wakishiriki Futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.

Imam wa Mamour Sheikh Issa Othuman Issa(kushoto) akizungumza na Mkuu wa Huduma za Kibenki wa wateja wadogo wa benki hiyo, Ajmair Riaz(katikati)wakati wa futari waliowaandalia wateja wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania, Sanjay Rughani, akisalimiana na wateja wakati wa futari waliowaandalia wateja wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here