Perez: Ronaldo kurudi Madrid haiwezekani

0
316

Madrid, Hispania

Kwa mujibu wa Rais wa Real Madrid, Florentino Perez, itakuwa ngumu kwa Cristiano Ronaldo kuichezea tena timu hiyo.

Zimekuwapo tetesi za muda mrefu zikimuhusisha ‘CR7’ na Madrid lakini Perez anaamini hizo ni tetesi tu.Kwa upande mwingine, Perez alishindwa kujibu alipoulizwa juu ya mpango wa Madrid kumsajili staa wa PSG, Kylian Mbappe.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here