23.8 C
Dar es Salaam
Saturday, September 25, 2021

Pasteur Amuli atoa siri ya ‘Bibomba Bomba’

DES MOINES, MAREKANI


MWIMBAJI na mtunzi wa nyimbo za Injili anayeishi, Des Moise, Marekani, Pasteur Mugisho Amuli, amewaomba mashabiki wa muziki huo kuupokea wimbo wake mpya, Bibomba Bomba.


Akizungumza na MTANZANIA, Amuli alisema wimbo, Bibomba Bomba (In God We Trust), ni miongoni mwa nyimbo nzuri zinazopatikana katika albamu yake, Identite (Identity) itakayotoka hivi karibuni.


“Huu ni wimbo ambao kila mmoja wetu anaweza nimeimba jinsi watu wanavyopenda kuongea jinsi sisi wanadamu tunavyowakatisha tamaa watu ambao tunawapenda lakini kwa Mungu hajawahi kukatishwa tamaa, video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube,” alisema Pateur Amuli.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,036FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles