24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Papaa Fololo, Dully Sykes wana jambo lao

Quebec, Canada

Mwanamuziki wa Tanzania Mwenye makazi yake nchini Canada, Papaa Fololo, amerudi kivingine na wimbo Dunia Sio mbaya aliomshirikisha mkongwe, Dully Sykes.

Akizungumzia kolabo hiyo ambayo imetoka hivi karibuni, Fololo amesema ndani ya ‘Dunia Sio mbaya’, wameonyesha uwezo mkubwa wa kuimba Rhumba huku wakiacha ujumbe kwa mashabiki.

“Nilikuwa kimya kwa muda mrefu sasa nimerudi na Dully Sykes kupitia wimbo Dunia Siombaya ni shauku yangu kila mmoja asikulize hili rhumba jinsi muziki ya wakubwa inavyoimbwa, video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube,” amesema Fololo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,264FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles