28.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, August 17, 2022

Pangani yazindua ‘Operesheni Kata Minyororo’

Mwandishi Wetu, Pangani

Wilaya ya Pangani jijini Tanga, imezindua kampeni ya ‘Operesheni kata Minyororo’ ili kutokomeza biashara ya magendo wilayani humo.

Mkuu wa wilaya hiyo, Zainab Abdalah, amesema operesheni hii imelenga kukata kuanzia mizizi hadi matawi ya minyororo hiyo ya muda mrefu ya biashara ya magendo.

“Ushirikiano wa jamii ndiyo msingi wa mafanikio ya safari hii ya kukataa magendo katika Wilaya ya Pangani, tunawaomba Wanapangangani wote kuwa wazalendo kwa kukata minyororo ya magendo,” amesema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,908FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles