22.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 28, 2021

Osimhen: Natamani kucheza soka tena

PARIS, Ufaransa 

STRAIKA wa Lille, Victor Osimhen, anatamani kusakata kabumbu huku akisisitiza yupo tayari kurejea dimbani.

“Natamani kuingia dimbani tena, nimewakumbuka mashabiki, napenda wanapiga kelele na kuimba nyimbo, nina imani tutarejea hivi karibu,”alisema Osimhen.

Osimhen  amefunga mabao 18 katika mashindano yote msiumu huu.

Staa huyo anakipiga katika timu ya taifa ya Nigeria almaarufu Super Eagels.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,502FollowersFollow
519,000SubscribersSubscribe

Latest Articles